Mgombea Udiwani wa Kata ya Vingunguti Kupitia Chama cha Mapinduzi , Omary Kumbilamoto akizungumza na Wakazi wa Mtaa wa Butiama Vinguti wakati wa Mkutano wake wa Kampeni ya kuomba ridhaa kwa Wananchi wamchague kuwa Diwani wa kata hiyo.
Mgombea Udiwani wa Kata ya Vingunguti Kupitia Chama cha Mapinduzi , Omary Kumbilamoto akiwa amebebwa juu juu na Mkada wa Chama Chake wakati akiwa anawasili kwenye uwanja wa Butiama Vingunguti .
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam akimwaga sera na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa katika Serikali hii ya awamu ya tano
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakichea kwa pamoja mtindo wa Mduara wakati wa mkutano wa Kampeni za Udiwani kata ya Vingunguti
Wakazi wa Mtaa wa Butiama waliohudhuria Mkutanowa wa kampeni za udiwani za Omary Kumbilamoto
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...