Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akizungumza katika kikao baina yake na viongozi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Seriikalini (TAGCO) na Idara ya Habari –MAELEZO wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati Tendaji wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Afisa Tehama wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami. Kutoka kulia ni Mjumbe wa TAGCO, Innocent Byarugaba,Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika, Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami na Kaimu Mkuuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mkoa wa Tabora, Frank Lema. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO,Bi. Zamaradi Kawawa akielezea jambo walipokutana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema katika ziara ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati Tendaji wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Kaimu Mkuuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mkoa wa Tabora, Frank Lema, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Bi. Sarah Kibonde Msika akifafanua jambo katika kikao baina ya viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe Afisa Tehama wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa(katikati). Mweka Hazina Msaidizi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Gerald Chami akielezea jambo katika kikao baina ya viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Idara ya Habari – MAELEZO na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Frank Lema(wapili kulia) wakati wa ziara ya kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati leo Mkoani Tabora. Kutoka kulia ni Mjumbe wa TAGCO, Innocent Byarugaba,Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO, Bi. Zamaradi Kawawa, na Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika.(Picha zote na: Frank Shija- MAELEZO, Tabora)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...