Bw.
Salim Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwa
katika picha ya pamoja na madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa
marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa huku wakionyesha vyeti vyao
baada ya kukabidhiwa vyeti hivyo vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi leo
mjini Iringa.
Madiwani hao wa kata 5 za manispaa ya Iringa Awali zilikuwa chini ya Utawala wa CHADEMA baada ya kujiuzuru nafasi zao za udiwania kupitia chama hicho CCM iliwateua tena kugombea katika uchaguzi wa marudio ambapo madiwani hao wameibuka washindi katika uchaguzi huo.
Bw. Salim Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwapongeza madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi leo mjini Iringa.
Bw. Salim Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi leo mjini Iringa na baadhi ya wabunge wa viti maalum CCM mkoa wa Iringa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...