Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles
Kaijage (katikati) akizungumza na baadhi ya Mafundi na Wahandisi wa
Mradi wa Ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka
TBA na Chuo Kikuu Ardhi alipotembelea eneo la mradi wa ujenzi wa Ofisi
hizo eneo la Njedengwa leo jijini Dodoma. Wengine ni Wajumbe na
Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles
Kaijage (katikati) akikagua eneo linapojengwa ghala la kuhifadhia vifaa
vya uchaguzi akiwa ameambatana Wahandisi wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la
Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutoka eneo la Njedengwa leo jijini
Dodoma.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (Rufaa), Semistocles
Kaijage (katikati) akizungumza na Wajumbe na Watendaji wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (kulia) mara baada ya kutembelea eneo la mradi la ujenzi wa
Ofisi za NEC jijini Dodoma. Wengine (kushoto) ni Mafundi na Wahandisi
wa Mradi wa Ujenzi wa jengo hilo kutoka TBA na Chuo Kikuu Ardhi.
Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Muhandisi Geofrey Mushanyela akitoa ufafanuzi kuhusu maendeleo
ya mradi wa ujenzi wa ofisi hizo kwa wajumbe na watendaji wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi waliotembelea mradi huo leo jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...