Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo ya pamoja na Jumuiya ya
Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais
alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya
hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika
ziara ya kikazi ya siku saba.

Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akiiuliza suala kwa Wafanyabiashara
na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) (hawapo pichani) wakati wazungumzo
yaliyofanyika jana katika Ofisi za Jumuiya hiyo ziliopo Mjini Jakarta
Indinesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi
hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia
(KADIN)Bw.Rosan P.Roeslan (kulia) pamoja na Viongozi wengine
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Jumuiya
hiyo jana katika ukumbi wa Ofisi hiyo uliopo Mjini Jakarta Indonesia
katika mkutano wa siku moja,katika ziara ya muaaliko wa Makamo wa Rais
Mohammed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein ( kulia) alipokuwa akiangalia mifuko inayotengenezwa kwa kutumia
Unga wa Muhogo mara baada ya mazungumzo na Jumuiya ya Wafanyabiashara
na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) katika Ofisi za Jumuiya hiyo
ziliopo Jakarta Indinesia akiwa katika ziara ya mualiko wa Indonesia
Mohamed Jusuf Kalla,wengine(kushoto) Viongozi wa Jumuiya ya
Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN).
(Picha na Ikulu).
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>
(Picha na Ikulu).
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...