Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi),
Mhandisi Dkt, George Mulamula ( kulia) akikata utepe wakati wa
uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea
simu (Techzone) na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao
makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower Morocco jijini Dar es
Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania Plc, Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi),
Mhandisi Dkt, George Mulamula ( katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano
na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia (kulia)
wakimsikiliza mtaalamu wa Data, Hendrick Rupia wakati wa uzinduzi wa
duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na
kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo
Vodacom Tower Morocco jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi),
Mhandisi Dkt, George Mulamula (wa pili kulia) akiongea na wafanyakazi
wa Vodacom wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye
sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu
lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini
Dar es Salaa , wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano
wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia, Kushoto ni Mkuu wa Kanda ya
Dar es Salaam na Pwani George Lugata na Meneja wa maduka ya Rejareja ya
Vodacom Tanzania, Happiness Macha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi),
Mhandisi Dkt, George Mulamula (wa pili kulia) akikata keki wakati wa
uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea
simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu uliofanyika leo katika makao
makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam,
wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania Plc, Rosalynn Mworia, (wa pili kushoto) na wafanyakazi wa
kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator Mhandisi Dkt, George Mulamula (kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia wakigongea glasi ya shampeni wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo Makao Makuu ya kampuni hiyo,Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...