
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakati Waziri alipotembelea ofisi za Global Group mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mhariri wa gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akimuonesha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakati Waziri alipotembelea ofisi za gazeti hilo Global Publishers mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi (kushoto) akizungumza na wafanyakazi Global Group wakati Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) alipotembelea ofisi za Global Group mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Global Group wakati Waziri alipotembelea ofisi za Global Tv mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...