Kushoto ni Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia kwa makini maelezo ya mwezeshaji katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wabunge wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...