Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akizungumza na wahandisi na
wakandarasi wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi ya Usajili
ya Wahandisi (ERB) tangu ianzishwe mwaka 1968.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Mhandisi Patrick
Barozi (kulia), akitoa utambulisho kwa wahandisi na wageni waalikwa
wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe
mwaka 1968.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Profesa Ninatubu Lema
(kulia) akitoa neon la utangulizi kwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya
kusheherekea miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa
akimkaribisha mgeni rasmi, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi
kuzungumza na wahandisi na wakandarasi wakati wa hafla ya kusheherekea
miaka 50 ya Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) tangu ianzishwe mwaka
1968.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akimkabidhi tuzo ya heshima
Naibu Balozi wa Norway Tanzania Trygve Bendiksby wakati wa hafla ya
kusheherekea miaka 50 ya Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) tangu
ianzishwe mwaka 1968.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akimkabidhi tuzo ya heshima
Mhandisi Milton Nyerere kwa niaba ya familia ya Hayati Baba wa Taifa
Mwl. Julius Nyerere kwa kutambua mchango Baba wa Taifa katika kuanzishwa
kwa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) wakati wa hafla ya kusheherekea
miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kushoto) akipokea saa toka kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Profesa Ninatubu Lema
(kulia) kwa niaba ya Rais John Magufuli wakati wa hafla ya kusheherekea
miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...