Jumamosi hii kwenye Premier League, Wana wa darajani aka the Blues - Chelsea ambao
wanashikilia nafasi ya 3 katika msimamo wa Ligi watakuwa wakiwakaribisha vinara wa Ligi
wanaoshikilia namba 1, Liverpool. Hii ndio mechi nadhani raia wote tunaisubiri kwa hamu.
Mechi itapigwa saa 1 na nusu usiku ndani ya Supersport 3 kupitia kifurushi cha Compact kwa
sh.69, 000 tu.
Mechi nyingine ni kwenye premier league Jumamosi ni
West Ham United vs Manchester United saa 8:30 mchana SuperSport 3 kwenye kifurushi
DStvCompact
Manchester City vs Brighton saa 10:30 jioni Supersport 10 ya kifurushi DStv Bomb
ash.19, 000 tu!
Arsenal vs Watford saa 11 jioni kwenye Supersport 5 ya kifurushi DStv Compact Plus
Mteja wa DStv, Lipia kabla akaunti yako kukatika upate ofa ya chaneli za ziada za supersport za
kifurushi cha juu kwa kipindi cha siku 7 ufurahie soka kabambe msimu huu bila gharama ya
ziada.
Hii ni sababu nyingine ya kufurahia ukilipia kifurushi chako mapema.
Na kumbuka ukiwa na Application ya DStv Now utaweza kuangalia mechi zote kupitia simu
yako ya mkononi, Tablets, Laptop na hata Desktop ukiwa mahali popote wakati wowote bila
gharama ya ziada.
Jiunge na DStv Kwa sh.79, 000 tu utapewa ofay a kifurushi cha mwezi mmoja Bomba bure,
Kujiunga piga 0659 070707!
DStv Moto Hauzimi!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...