NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani[CCM akizungumza katika mkutano wa hadhara eneo sokoni wilayani Pangani kabla ya kushuhudia utiliaji wa saini ya mkataba wa maji kutiliana saini mkataba wa utekelezaji wa mradi huo baina ya Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga-Uwasa) wilayani hapo.
MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto ni Katibu tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassan Nyange
 |
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga-Uwasa) Phares Aram kushoto akisaini hati za mkataba wa maji na Mkandarasi a Mkurugenzi wa Kampuni ya Macarious Hotel and Co.Ltd Filbert Mmassy kulia ambaye atatekeleza mradi wa maji wilayani Pangani wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella katikati  |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...