Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania, Mwanahiba Mzee akizungumza na wateja wa Ecobank wakati wa hafla ya kuongea na wateja lengo ikiwa ni kukutana na wateja wao kuwasikiliza ili kuboresha huduma, ufanisi pamoja na kuwa karibu zaidi na wateja wao wakati wa siku ya wateja wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha biashara Ecobank Tanzania Respige Kimati akiwasilisha mada kwa wateja wa benki hiyo wakati wa hafla iliyowakutanisha wateja mbalimbali wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mkuu wa kitengo cha Kidigitali Ecobank Tanzania, Filemon Tesha akiwasilisha mada mada kuhusu utumiaji wa benki hiyo kwa njia ya kidigitali wakati wa hafla iliyowakutanisha wateja mbalimbali wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Ecobank Tanzania, Furaha Samalu akiwa kwenye picha ya pamoja na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla iliyowakutanisha wateja mbalimbali wa benki hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...