KIFO
16/11/2001
BIBIANA
(NKAMALI) PETER BASI KWEKA
Bibi
yangu mpendwa na somo wangu pia.Leo umetimiza miaka 15 tangu ulipoitwa mbinguni
kwa BABA. Hatuna cha kusema,tumebaki kushukuru tuu kwani hata miaka ulioishi
ilizidi ile ya Upendeleo.
Tunakumbuka
sana uzuri wako,Ucheshi,Usafi na
Ufanyakazi wako bila kusahau jina lako (BIBI SHAMBA). Kweli ulikuwa mfano wa
kuigwa. Unakumbukwa sana na mimi somo wako JANE, WAJUKUU WOTE WA KWA
BASI SARONGA, MTOTO WAKO WA PEKEE
ALIYEBAKI DUNIANI SR.DEVOTA KWEKA CDNK, WA KWEKA WOTE WA NARUMU, WA –ULOMI WOTE WA
USWAA- MACHAME, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI
,MISA YA KUMUOMBEA IMEFANYIKA LEO ASUBUHI KWENYE KANISA LA MKOLANI- MWANZA.
RAHA
YA MILELE UMPE EEEH BWANA . . . .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...