Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Bunda Boniphace Mwita, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali ya papo kwa papo, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akifurahia jambo na Mbunge wa Mlalo Lushoto Rashid Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Khamis Kigwangala, akijibu swali Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya Wabunge, Bungeni jijini Dodoma Novemba 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...