Mkurugenzi
wa Ubora na Uhakiki wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dr. Mohamed Mohamed akifungua kongamano la kimataifa la madaktari bingwa wa
upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu katika ukumbi wa Hospitali ya MOI jijini Dar es salaam leo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya wadhamini ya MOI Prof Charles Mkonyi akizungumza katika kongamano la
kimataifa la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya
fahamu
Mkurugenzi
Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akitoa neno la ukaribisho katika kongamano
la kimataifa la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya
fahamu.
Kiongozi
wa jopo la wakufunzi kutoka chuo kikuu cha Weill Cornel cha marekani Prof Roger
Hartl akiwasilisha mada katika kongamano la kimataifa la madaktari bingwa wa
upasuaji wa Ubongo ,Mgongo na Mishipa ya fahamu
Mkurugenzi
wa Ubora na Uhakiki kutoka Wizara ya Afya Dkt Mohamed Mohamed (wa pili) kutoka
kushoto akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kongamano
la kimataifa la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu kutoka mataifa
mbalimbali duniani. Wa kwanza kushoto ni Profesa Charles Mkonyi mwenyekiti wa bodi ya
wadhamini MOI, watatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt
Respicious Boniface na wa kwanza kulia ni Kiongozi wa jopo la wakufunzi kutoka
marekani Profesa Roger Hartl.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...