Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore kupitia Programu ya Ushirikiano ya nchi hiyo (SCP) na Serikali ya Israel kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Israel (MASHAV).
Maelekezo ya kalenda ya kozi ambazo zimetolewa chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore inapatikana kupitia tovuti yao ya http://www.scp.gov.sg.
Taarifa ya kina kuhusu nafasi za masomo chini ya ufadhili wa MASHAV inapatikana kupitia tovuti ya
http: // mashav.mfa.go.il/MFA/mashav/Courses/Pages/default.aspx.
Kupara sehemu ya kalenda ya kozi chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore kwa mwaka 2018 na 2019
Enter your comment...habari kiongozi samahani kwa usumbufu ivi mbona hamjatoa majina ya walioomba maombi ya kwenda inchini,israel,despite mtu kakosa but taarifa muhimu kuwa walioteuliwa ni Hawa.
ReplyDelete