Kamishna
wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje,ambaye
alimuwakilisha Kamishna Jenerali wa Magereza (wa tatu toka kulia)
akikata utepe kuzindua Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS
na TB.
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje,ambaye alimuwakilisha Kamishna Jenerali wa Magereza, akifungua kikao cha Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB kwenye ukumbi wa kivukoni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 18 December 2018. Aliyekaa ni Kamishna wa Mafunzo Zanzibar, Ally Abdala.
Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar, Ally Abdala akichangia mada kwenye mjadala wa Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV, AIDS na TB.
Daktari Fulgency Binagwa akitoa semina ya Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB kwenye ukumbi wa kivukoni katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Afisa Mradi Kitaifa wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayopambana dhidi ya madawa ya kulevya na uhalifu Bi. Immaculate Nyoni akimshukuru Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje kwa kuzindua Mpango Mkakati dhidi ya HIV,AIDS na TB.
Kamishna wa Huduma za Urekebishaji wa Jeshi la Magereza Augustine Mboje (wa tatu toka kushoto,walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau waliowezesha kukamilika kwa Mpango Mkakati wa miaka mitano dhidi ya HIV,AIDS na TB katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha zote na Jeshi la Magereza
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...