“Hata ingawa ninatembea katika bonde lenye
kivuli kizito, Siogopi chochote kibaya,Kwa maana wewe uko pamoja
nami; Fimbo yako na gongo lako ndivyo vitu vinavyonifariji.” (Zaburi 23:4)
LUTENI
KANALI (MSTAAFU) WILLY JOHN MASOI
Miaka
4 imetimia leo tangu Mwenyezi Mungu alipokuita kwake. Hata hivyo kutokana na
upendo wako kwetu tunaamini Baba yetu kipenzi unaendelea kutulinda, kutusimamia
na kutuongoza katika kila tufanyalo. Baba, endelea kuimba na Malaika.
Unakumbukwa
na mke wako kipenzi Mary-Salome, watoto, wakwe, wajukuu, shemeji, ndugu, jamaa,
marafiki na majirani zako.
Raha ya Milele umpe, ee Bwana, na Mwanga wa
Milele Uingazie Roho ya Marehemu Luteni Kanali (Mstaafu) Willy John Masoi.
Apumzike kwa Amani, Amina. Zab: 23:4



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...