Wakazi wa mkoa Dar es Salaam na baadhi wageni mbalimbali kutoka mikoani kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya wakiwa kwenye pilipilika za kununua mahitaji mbalimbali kwenye soko la Goba leo.(Picha na Emmanuel Massaka, MMG)
Baadhi ya Wakazi wa Dar es Salaam wakichagua mahitaji mbalimbali katika soko la Goba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...