Zaidi ya wasanii 40 ‘Machampioni ‘kutoa burudani ya kufunga mwaka.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za
Masoko wa Tigo William Mpinga (wa pili kulia) akiwa na mratibu wa
Tamasha la Tigo Fiesta 2018 Gardner Habash (wa tatu kulia) pamoja na
baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2018
litalaofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Msanii Nedy Music (wa kwanza
kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika
viwanja vya Posta jinjini Dar es Salam Jumamosi. Wa pili kushoto ni
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo Masoko William Mpinga
akifuatiwa na Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds
Media Group akifuatia na msanii Chege
Msanii Dogo Janja (wa kwanza
kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika
viwanja vya Posta jijini Dar es Salam Jumamosi. Wa pili kushoto ni Mkuu
wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga akifuatiwa na
Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds Media Group
Msanii wa muziki wa kizazi kipya
TID, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha kuhusu ushiriki
wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2018 litakalofanyika katika viwanja
vya Posta jijini Dar es siku ya Jumamosi. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo
cha Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...