Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki akiongoza ibada ya kuuaga mwaka 2018 na kuukaribisha mwaka 2019 iliyoanza saa tatu usiku na kufika tamati saa sita usiku.
Kwaya ya vijana ya Kanisa la Baptist Kinondon B wakiimba nyimbo za kusifu na shangwe wakati wa mkesha wa mwaka mpya Dar es Salaam.
Wanakwaya wakitoa huduma katika mkesha wa mwaka mpya uliofanyika katika kanisa la Baptist Kinondoni B jijini Dar es Salaam.
Waumini
wa kanisa la Baptist Kinondoni B wakiendeleza sherehe za kuupokea mwaka
2019 na kuuaga mwaka 2018 leo usiku kwenye ibada ya kuuaga mwaka 2018
na kuukaribisha mwaka 2019,iliyoanza saa 3 usiku na kufika tamani saa 6
usiku.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...