Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
ALIYEKUWA Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo ameachiwa huru na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC)huko Hague, baada ya upande wa mashtaka kukosa vithibitisho juu ya makosa yaliyokuwa yanamkabili.

Gbagbo aliyeongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2000 hadi aliposhikwa mwaka 2011 akituhumiwa kwa kusababisha vurugu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao alishindwa na mpinzani wake Alassane Ouattara kushika nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...