MKURUGENZI
Mtendaji wa Taasisi ya Mabenki Tanzania (TIOB), Patrick Mususa(kulia),
akizungumza wakati wa kumkaribisha Meneja wa Usimamizi wa Taasisi za
Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT), Nassor Omar,kuzindua Kozi mpya ya
Uchambuzi yakinifu kupitia viashiria hatarishi katika Mfumo wa Utoaji
Mikopo(The basics of Credit Risk Modelling) kwa Wakurugenzi Wakuu wa
Mabaenki na Taasisi za Fedha,uliofanyika Dar es Salaam, jana.
Home
ELIMU
KOZI MPYA YA UCHAMBUZI YAKINIFU KUPITIA VIASHIRIA HATARISHI KATIKA MFUMO WA UTOAJI MIKOPO YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...