Kazi
ya Kuhamisha kipande cha reli chenye urefu wa Kilometa 1.3 ikiendelea
eneo la Kidete - Godegode umbali wa KM 337 - 338 ili kudhibiti mafuriko
ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa
kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa. Kazi
inajumuisha ujenzi wa tuta jipya la reli, ujenzi wa Makalavati pamoja na
uwekaji wa reli katika tuta jipya hivi karibuni Januari 2019.
Muendesha
mtambo akiendelea na kazi ya kuweka kifusi na kupanga mawe kwenye kingo
ya mto Mkondoa kwa ajili ya kudhibiti mafuriko ya mto Mkondoa
yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa kwa Huduma za
Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa.
Sehemu
ya Mto Mkondoa ikiwa imewekewa kingo za mawe kwa ajili ya kudhibiti
mafuriko ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea
kusitishwa kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua
kubwa.
Kazi
ya Kuhamisha kipande cha reli chenye urefu wa Kilometa 1.3 ikiendelea
eneo la Kidete - Godegode umbali wa KM 337 - 338 ilikudhibiti mafuriko
ya mto Mkondoa yanayoathiri miundombinu ya reli na kupelekea kusitishwa
kwa Huduma za Usafiri wa reli mara kadhaa wakati wa mvua kubwa. Kazi
inajumuisha ujenzi wa tuta jipya la reli, ujenzi wa Makalavati pamoja na
uwekaji wa reli katika tuta jipya hivi karibuni Januari 2019.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...