Naibu Waziri wa Maji JUMAA AWESO akizungumza katika mkutano wa hadhara ulifanyika Kijiji cha NYONI Wilaya ya MBINGA Mkoani RUVUMA amesema Mkoa wa RUVUMA ulipewa zaidi ya Shilingi Bilioni 15 huku Wilaya ya MBINGA ikipewa zaidi ya Shilingi Bilioni 2.1 katika kuhakikisha wanakamilisha miradi ya maji na kujenga miradi mipya lakini miradi hiyo imekamilika huku Maji hayatoki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...