Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limetuma orodha ya Waamuzi wa Tanzania watakaochezesha mechi za kimataifa wakiwa na beji ya FIFA.
Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati na Waamuzi wasaidizi wa Kiume na wa Kike. Aidha wapo pia waamuzi watakaochezesha soka la Ufukweni.
Waamuzi wa katikati Wanaume
1 NASSORO Mfaume Ali
2 SASII Hery Ally
3 MWANDEMBWA Emmanuel Alphonce
4 SAANYA Martin Elifhas
Waamuzi Wasaidizi
1 CHACHA Ferdinand
2 KINDULI Mgaza Ally
3 LILA Soud Iddi
4 KOMBA Frank John
5 MKONO Mohamed Salim
6 HAULE Mbaraka Haule
Waamuzi wa Soka la Ufukweni
1 MSILOMBO Jackson Steven
2 MWAMBONEKO Geofrey Tumaini
Waamuzi wa katikati Wanawake
1 KABAKAMA Jonesia Rukyaa
2 CHIEF Florentina Zabron
Waamuzi wasaidizi Wanawake
1 MDUMA Hellen Joseph
2 WAMALA Grace
3 BALAMA Janet Charles
4 MTWANA Dalila Jafari

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...