Ndugu Isaac Zumba wa Ngarenaro, Arusha. Anatangaza kifo cha mke wake Amabilis Zumba kilichotokea jana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwili unategemewa kuagwa kesho Ijumaa saa sita mchana, Kanisa la Muhimbili Hospital, na baada ya hapo kuelekea Arusha kwa ajili ya mazishi siku ya Jumanne tarehe 8 Januari.
Salaam ziwafikie ndugu wote wa koo za
Zumba na Mumba waishio ndani na nje ya nchi.
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE NA LIHIMIDIWE - AMEN
Salaam ziwafikie ndugu wote wa koo za
Zumba na Mumba waishio ndani na nje ya nchi.
BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE NA LIHIMIDIWE - AMEN
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...