Idara Ya Uhamiaji Mkoa Wa Tabora imewafukuza Nchini Raia wa Kigeni 26 Kati ya Watuhumiwa 58 Waliokamatwa Katika Msako Maalumu Uliofanywa na Idara hiyo katika Maeneo mbalimbali Mkoani humo, kwa madai ya Kukiuka Sheria za Uhamiaji ikiwemo Kuingia na Kuishi Nchini Pasipokuwa Na Kibali Maalum.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Mrakibu Mwandamizi wa Idara ya Uhamiaji ambaye pia pi Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa Wa Tabora Amiru Sadik amesema Raia hao wa Kigeni waliofukuzwa ni kutoka katika Nchi za Kongo,Burundi Na Kenya.Habari picha na Amisa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...