Baadhi ya akina mama wafanyabiashara ya samaki katika soko  la Feri jijini Dar es Salaam, wakiwa hawana la kufanya kutokana na kukosekana kwa  mnada wa samaki,baada ya wavuvi kushindwa kutia nanga jana  Januari 16,2019 kutokana na opresheni ya ukaguzi wa Lesseni  na vibali mbalimbali kwa wavuvi. 
  
Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...