Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt Aziz P. Mlima amefanya mazungumzo  na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega  mjini Kampala ambapo walizungumzia changamoto na fursa zilizopo kwa nchi mbili kwenye sekta ya Uchukuzi, reli na bandari na ushoroba wa kati. Mazungumzo hayo pia yalihidhuriwa na Waziri wa Nchi wa Ujenzi wa Uganda Jenarali Edward Katumba Wamala.
 Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt Aziz P. Mlima akiwa katika  mazungumzo  na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega  mjini Kampala
 Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt Aziz P. Mlima akimkabidhi zawadi ya kahawa ya Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega baada ya mazungumzo yao  mjini Kampala
 Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt Aziz P. Mlima akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega  mjini Kampala na Waziri wa Nchi wa Ujenzi wa Uganda Jenarali Edward Katumba Wamala.

Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt Aziz P. Mlima akiagana na  Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega baada ya mazungumzo yao  mjini Kampala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...