Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume akihutubia katika mkutano wa  amani uitwao Global Peace Convention jijini Seoul.
Mkutano huu unaofanyika  kila baada ya miaka 2, umekuwa ukizunguka nchi mbalimbali duniani. Mwaka huu mkutano huo umefanyika nchini Korea ili kuhamasisha Korea Kusini na Korea Kaskazini waondoe tofauti zao na kuwa wamoja (OneKorea).
Dkt. Karume, ambaye ni moja wa wazungumzaji wakuu katika kujadili maswala ya violent extremism and radicalisation (misimamo mikali inayoweza kusababisha uvunjifu wa amani, ameeleza matumaini yake kwamba iko siku kutakuwa na Taifa la Korea Moja.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkazi wa Global Peace Tanzania Bi. Martha Ngh'ambi, Watanzania mbalimbali wanashiriki kwenye mkutano huo akiwema mke wa Dkt. Karume, Mama Shadya Karume, ambaye ameongozana naye. 
Bi. Nghambu amesema Mkutanio huu unatarajiwa kufungwa Februari 1, mwaka huu.
 Mama Shadya Karume akiwa na washiriki wengine kwenye mkutano huo
 Sehemu ya wshiriki wa mkutano wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
 Sehemu ya wshiriki wa mkutano wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
 Sehemu ya wshiriki wa mkutano wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
 Sehemu ya wshiriki wa mkutano wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
Mkurugenzi Mkazi wa Global Peace Tanzania Bi. Martha Ngh'ambi akiwa katika mkutano huo wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
 akiwa katika mkutano huo wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
Bi Shamira Mshangama  akiwa katika mkutano huo wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.
Bi Emma Kawawa akiwa katika mkutano huo wa amani wa Global Peace Convention jijini Seoul.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...