Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine
Kasike(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Msemaji wa Jeshi la Magereza, SP.
Amina Kavirondo(kulia katikati) alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza leo
Februari 2, 2019 katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea jijini
Dodoma.
Mtendaji wa Mahakama Kuu, Bw. Leonard Magacha
akimtembeza Kamishna
Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(kushoto) katika mabanda ya
Mahakama ya Tanzania alipotembelea leo Februari 2, 2019 katika Maadhimisho ya
Wiki ya Sheria yanayoendelea jijini Dodoma.
Maafisa washiriki katika Banda la Tume ya Utumishi
wa Mahakama(kushoto) wakitoa maelezo namna Tume hiyo inavyotenda kazi zake
mbele ya Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike(wa pili toka
kulia) katika mabanda ya Mahakama ya Tanzania alipotembelea leo Februari 2,
2019 katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine
Kasike akiteta jambo na Bregedia Jenerali Mkande walipokutana leo Februari 2,
2019 jijini Arusha(Picha na Jeshi la Magereza).
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine
Kasike(kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Banda la Jeshi la Polisi
alipotembelea leo Februari 2, 2019 katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria
yanayoendelea jijini Dodoma.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...