Mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania Edga Mfumakule akionyesha umahiri wa kusakata kabumbu wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Mashujaa ya Kigoma katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0 (Picha na Jeshi la Polisi).
Santos Marcelino wa Polisi Tanzania akitamba mbele ya walinzi wa Mashujaa ya Kigoma wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0.
Santos Marcelino wa Polisi Tanzania akiwatoka walinzi wa Mashujaa ya Kigoma wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0.
Kikosi cha timu ya Polisi Tanzania kilichoanza dhidi ya Mashujaa ya Kigoma wakati wa mchezo wa ligi daraja la kwanza katika uwanja wa Ushirika Moshi ambapo Polisi walishinda 1-0 (Picha na Jeshi la Polisi).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...