Afisa
Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Yeyeye akimpima
msukumo wa damu mwilini (BP) mwananchi aliyetembelea katika banda la
Taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa iliyozinduliwa
jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Mhe. Ummy Mwalimu katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mahawa Asenga akimuonesha Mwananchi kifaa kinachotumia kupasua kifua wakati wa upasuaji wa moyo katika uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa ambayo ilizinduliwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mariselina Granima akiwaeleza wananchi kuhusu huduma mbalimbali za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa iliyozinduliwa jana katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma
Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakitoa elimu ya magonjwa ya moyo pamoja na huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa iliyozinduliwa jana katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rydness Mulashani akimwelekeza mwananchi jinsi kifaa kinachousaidia moyo kufanya kazi (Pacemaker) kinavyowekwa kwa mgonjwa ambaye moyo wake haufanyi kazi vizuri wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa iliyozinduliwa jana katika uwanja vya Jamhuri mkoani Dodoma.
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aisha Omary akimpima urefu mwananchi aliyetembelea katika banda la Taasisi hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa iliyozinduliwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akipata maelezo ya jinsi mgonjwa aliyeko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) anavyohudumiwa mara baada ya kutoka katika chumba cha upasuaji wa moyo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uuguzi sasa iliyozinduliwa jana katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Picha na Englibert Kayombo – WAMJW

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...