Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amerejea jijini Dodoma leo Februari 1, 2019 baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga, Januari 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (watatu kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge (kulia) kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma wakati aliporejea jijini Dodoma baada ya kumuwakilisha Rais, Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mke wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary bin Zubeir yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamndolwa wilayani Korogwe, Tanga, Januari 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...