Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akizungumza machache na wafanya kazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City leo katika maadhimisho ya siku wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka ambapo amewaasa kufanya kazi kwa bidii na kujitambua kwenye jamii inayowazunguka.
Kaimu Mkurugenzi Benki ya CRDB tawi la Mlimani City,Adelphina Barongo akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya siku wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akikata keki pamoja na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusherekea siku maadhimisho ya wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akimlisha keki Kaimu Mkurugenzi ya Benki ya CRDB tawi la Mlimani City,Adelphina Barongo katika maadhimisho siku ya wanawake duniani.
Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi Mliman City leo katika maadhimisho siku ya wanawake duniani.
Afisa wa benki ya CRDB tawi Mliman City,Maureen Mwanda kulia akimkabidhi zawadi Mwanadiplomasia,Gertrude Mongella katika maadhimisho siku ya wanawake duniani
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...