Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa wa Tabora kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Hamad Maalim akichangia jambo wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa wa Tabora kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi ya kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Mkoa huo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...