Katibu
Tawala Wilaya ya Rombo (DAS)Bw. Abubakar Asenga akimuongoza Dkt. Jimmy
Yonazi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, alipotembelea Minara
inayojengwa Rombo na maeneo yenye uhaba wa mawasiliano ili kuongeza
usikivu wa Radio na upatikanaji wa Mawasiliano ya Simu .
Ziara hii inalengo la kumaliza Changamoto ya maingiliano ya Simu na Radio toka nchi Jirani ya Kenya.
Naibu katibu Mkuu Dkt Yonaz aliambatana na viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote ili nao waweze kuongeza nguvu zaidi katika utekelezaji wa Ilani ya CCM ilioahidi kuendelea kuboresha Mawasiliano kwa Wananchi.
Katibu
Tawala Wilaya ya Rombo (DAS), Abubakar Asenga akimueleza jambo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano,Dkt Jimmy Yonaz alipotembelea Minara
inayojengwa Rombo na maeneo yenye uhaba wa mawasiliano ili kuongeza
usikivu wa Radio na upatikanaji wa Mawasiliano ya Simu .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...