Mkazi wa Moshi Mjini, Prosper Andrea Massawe wa Moshi, mkoani
Kilimanjaro, akifurahia baada ya kuibuka mshindi wa bodaboda na sh
milioni moja aliyokabidhiwa kutoka kwenye bahati nasibu ya Watanzania ya
Biko, mchezo wa kubahatisha unaotoa nafasi kubwa ya kushinda nchini
Tanzania. Droo kubwa za Biko hufanyika kila Jumatano na Jumapili.
Home
BIASHARA
MKAZI WA MOSHI MJINI AJISHINDIA BODA BODA YA BIKO,PIA AKABIDHIWA KITITA CHA MILIONI MOJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...