Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wakiwa katika hali ya furaha wakati wa Maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Machi 8, 2019 jijini Dodoma.
Wafanyakazi wa TSC wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani jijini Dodoma.
Watumishi kutoka Taasisi mbalimbali wakiwemo wa Tume ya Utumishi wa Walimu wakiwa katika Maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika jijini Dodoma.
Wafanyakazi wa TSC wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...