Baadhi ya wakulima wa Korosho Kijiji cha LINGUSANGUSE Wilaya ya NAMTUMBO Mkoani RUVUMA wameulalamikia uongozi wa Chama cha Msingi cha MJIMWEMA kwa kuwaibia kilo za korosho na kutowalipa stahiki zao.
Malalamiko hayo wameyatoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa RUVUMA, CHRISTINA MNDEME alipotembelea kijijini hapo kwa lengo la kusikiliza kero zinazowakabili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...