Meneja wa kampeni ya Binti ya Kitaa David George akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana Kisutu katika maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, leo jijini Dar es salaam na kuwahimiza mabinti hao kuishi katika ndoto zao ili kuweza kufikia malengo
Balozi wa kampeni ya Binti wa kitaa Salama Salim maarufu kama Sandra akiongea na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wanawake Kisutu katika maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, na kuwahimiza kuzingatia masomo yao ili waweze kutimiza malengo yao, leo jijini Dar es salaam.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wanawake Kisutu wakimsikiliza Meneja wa kampeni ya Binti ya Kitaa David George.
Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...