Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali Benki ya CRDB, Elibariki Masuke akizungumza wakati wa semina kwa wafanyabiashara juu ya fursa ya soko la Kimataifa na kutanua mtandao na kufungua soko jipya baina ya Wafanyabiashara wa Tanzania na wa China, iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam. Semena hiyo iliangalia na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) kwa udhamini wa Benki ya CRDB.
Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali Benki ya CRDB, Elibariki Masuke akifafanua jambo wakati wa Semina hiyo kwa wafanyabiashara juu ya fursa ya soko la Kimataifa na kutanua mtandao na kufungua soko jipya baina ya Wafanyabiashara wa Tanzania na wa China, iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo nchini (TCCIA), Octavian Mshiu akizungumza wakati wa Semina hiyo kwa wafanyabiashara juu ya fursa ya soko la Kimataifa na kutanua mtandao na kufungua soko jipya baina ya Wafanyabiashara wa Tanzania na wa China, iliyofanyika hivi karibuni katika hoteli ya Serena, jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...