Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli watatu kutoka kulia Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto
watatu kutoka kushoto aliyeshika utepe, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru wasita
kutoka kulia aliyeshika utepe pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Mtwara,
Wabunge, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Mangaka-
Nakapanya-Tunduru km 137 pamoja na Barabara ya Mangaka-
Mtambaswala km 65.5 sherehe zilizofanyikka katika Wilaya ya
Nanyumbu mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wadau wa Maendeleo, Balozi
wa Japan hapa nchini Shinichi Goto pamoja na Mwakilishi Mkazi wa
benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru
mara baada ya kufungua barabara ya Mangaka-Nakapanya-Tunduru km
137 pamoja na Barabara ya Mangaka-Mtambaswala km 65.5 katika
Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa
Nanyumbu mara baada ya kufungua barabara ya Mangaka-Nakapanya-
Tunduru km 137 pamoja na Barabara ya Mangaka-Mtambaswala km
65.5 katika Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara. PICHA NA IKULU.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...