Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.

Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Zungu wakati Rais huyo pamoja na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.
Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati yeye na ujumbe wake walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati, Mussa Zungu.
Rais wa Seneti ya Burundi, Reverin Ndikuriyo akiagana na Mbunge
wa Bunge, Charles Tizeba wakati Rais huyo pamoja na ujumbe wake
walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati Bunge ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...