Baadhi ya wafanyakazi wa Tigo Mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine Murtazah ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima.
Meneja wa Tigo kanda ya Kusini Mashariki Abbas Abdulrahman akiagana na na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine Murtazah wa Iringa ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima



Meneja wa Tigo kanda ya Kusini Mashariki Abbas Abdulrahman (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja Wakala wa huduma ya  Tigo Pesa Shine Murtazah wa Iringa ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima
Meneja wa Tigo kanda ya Kusini Mashariki Abbas Abdulrahman (kulia) akiteta jambo na Wakala wa huduma ya Tigo Pesa Shine Murtazah wa Iringa  ambaye ni mmoja kati washindi wawili wa kanda hiyo waliojishindia zawadi za fedha taslimu kwenye promosheni ya ‘Cash In’ iliyomalizika mwishoni mwa mwezi Machi. Tigo imetoa zawadi za fedha taslimu zenye thamani ya Tshs 1m/- kwa Mawakala wa Tigo Pesa nchi nzima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...