Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP), Ndugu Takawira Musavengana na Mratibu wa mradi huo Ndugu Mary Lasway.
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akipokea zawadi kutoka kwa
Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa
(UNDP), Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini
Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...