Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Albert Chalamila akizungumza na wauguzi na Wananchi(hawapo pichani) wakati akizindua rasmi maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika Viwanja vya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ambapo maadhimisho hayo huadhimishwa kila mwaka Mei 12.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Albert Chalamila (kulia ) akisikiliza maelezo ya Afisa Muuguzi msaidizi kutokakitengo cha CTC care and treatment centre Mariam Muhanjimu Mara baada ya kutembelea bando hilo wakati wa uzinduzi wa Siku ya Wauguzi duniani ambayo inatafanyika Mei 12.
 Sehemu ya Wananchi wa  Mkoa wa Mbeya walioshiriki katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika viwanja vya hospitali ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya ambapo maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Mei 12.
 Sehemu ya wauguzi kutoka Hospital ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya walioshiriki katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika viwanja vya hospitali ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya ambapo maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Mei 12. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...