Mbunge wa Viti Maalum, Sonia Magogo akiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum, Anna Gidaria akiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Wabunge wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Wabunge wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Mbunge wa Mikumi, Joseoh Haule (kulia) na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. (Picha na Airtel).
Mbunge wa Mikumi, Joseoh Haule (kulia) na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto (kushoto) wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. (Picha na Airtel).
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akiwa kwenye banda la Kampuni
ya simu ya Airtel lililopo katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma
kwaajili ya kusajili laini kwa alama za vidole. (Picha na Airtel).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...