Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza katika futari aliyowaandalia watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Ajira na Wenye Ulemavu,
Jenista Mhagama baada ya futari aliyowaadalia watumishi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei
28, 2019. Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na
Bunge), Bibi Maimuna Tarishi na wapili kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera na Uwekezaji), Bibi Dorothy Mwaluko. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...